Mbondo Na Lwembo 1


Ingawa tunaweza kutengwa na misukusuku ya dunia, nyimbo hizi zinatuleta pamoja mara tena.  Hapa zipo nyimbo zinazotukumbusha tulikotoka, zinazo tuonya na mambo ya leo na kesho, na nyimbo zingine zatufaa wakati wa furaha na wakati wa uzuni.  Ukiwa na wimbo ambao ungependelea uwe hapa, usisite kutujulisha hapo chini.  Alembe!!!


 1. Wamina-Wilola Mleka 3:01
 2. Acheni Chuki Reveil 4:50
 3. Alaki Atwalakilwe Group Babondo Kin 7:11
 4. Ayakwa Pierre 5:56
 5. Chamuono
 6. Ekyo Mboka Ya Ngene Mbondo
 7. Emangumangu Chorale 8ieme CEPAC 5:08
 8. Haibu 4:33
 9. Haleluya
 10. Hanyeshi 6:09
 11. Ilombolwa Na Abeca 26eme CMLC KAWA 7:04
 12. Karama Furaha 7:15
 13. Lomamba Mbondo 5:44
 14. Macima Les Mas 2:49
 15. Mmachana
 16. Mwami Yesu
 17. Niendela 34:16
 18. Nile Na Yesu Papi/Kigusile 5:08
 19. Posoo Group Al 9:08
 20. Reveil Reveil 5:00
 21. Shinamona by Celpa 7:05
 22. Sombele
 23. Sombele Ono Babondo
 24. Tuundane Cadeau ft Group Gloria 5:37
 25. Utuwelece Mbondo 7:21
 26. Tekenene Babondo Paster Elie Nondo 7:13
 27. Tube Emo 6:50
 28. Vyatosha Furaha Jafete 7:07
 29. Wafela Group Aleluya 7:42

Je, una wimbo?


Leave a comment

One thought on “Mbondo Na Lwembo

 • Edifice

  Tulipokeya horoza ya nyimbo za watoto wetu kutoka kwa ndugu Amuri L.E Kisose “Alek;” ni nyimbo ambazo zilipendwa/sikilizwa zaidi mwaka huu wa 2016. Selon Alek.
  Nyimbo hizo zimependwa hivi:
  #1.Ayakwa
  #2.Tekenene Babondo
  #3. Nile na Yesu
  #4. Emangumangu
  #5. Alaki Atwalakilwe
  #6. Shinamona
  #7. Ilombolwa na Abeca
  #8. Tube Emo
  #9. Banam’mwele
  #10 Wafela
  Pata burudani, na ukiwa na pendekezo lolote usisite kuwasiliana nasi!